YANGA YASAJILI BEKI WA JANG'OMBE ZANZIBAR
Beki wa Taifa ya Jang'ombe Abdallah Haji Shaibu 'Ninja' amesaini mkataba wa miaka 2 na mabingwa watetezi wa ligi kuu soka ya Tanzania bara klabu ya Yanga .
Mkataba huo Ninja amesaini mchana wa leo kwenye Makao makuu ya klabu hiyo iliyopo Jangwani Jijini Dar es salam.
No comments:
Post a Comment