WAWAKILISHI wa Straika wa Spain Alvaro Morata wamekutana na Real Madrid Asubuhi hii kujadili hatima ya Straika huyo anaetaka kwenda Manchester United. Manchester United wanataka kumsaini Morata ili ambadili Zlatan Ibrahimovic huku akiafiki Uhamisho huo.
Hii Leo, Wakala wa Morata, Juanma Lopez, na Baba Mzazi wa Mchezaji huyo, Alfonso Morata, walitua huko Santiago Bernabeu Jijini Madrid na kufanya Mazungumzo ya Dakika 50 na Real Madrid.
No comments:
Post a Comment