BUKOBA SPORTS

Saturday, March 3, 2018

FULL TIME: KAGERA SUGAR 2 vS 1 MAJIMAJI

Kagera ndio walitangulia kupata bao kipindi cha kwanza mwishoni kupitia kwa Edward Christopher na kwenda mapumziko wakiwa 1-0.
Kipindi cha pili Majimaji walikuja na nguvu na kusawazisha bao lupitia kwa Jerson-Tegete na kufanya 1-1. kipindi cha pili Japheth-Makarai akawapatia bao la pili na kufanya 2-1 na mtanange kumalizika kwa dakika 90 kwa bao 2-1.






















No comments:

Post a Comment