BUKOBA SPORTS

Wednesday, March 14, 2018

REFA ISRAEL MUJUNI MKONGO NDIYE ALIYECHEZESHA MPAMBANO WA KAGERA SUGAR DHIDI YA MWADUI FC KWENYE UWANJA WA KAITABA.

Israel Mujuni Mkongo alimwambia Awadhi Juma kuwa bao hilo ni la haki kwani aliyeonekana kuotea si yeye aliyefunga bao hilo.
Israel Mujuni Mkongo (wa pili kutoka kushoto) refa aliyechezezesha mpambano wa Kagera Sugar dhidi ya Mwadui Fc kwenye Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba. Hapa alikuwa akimwelewesha Nahodha wa Timu hiyo ya Mwadui Fc Awadhi Juma wakati wa mapumziko. 

No comments:

Post a Comment