Dele Alli akishangilia na wanatottenham wenzake uwanjani mara baada ya kuondoa ukame wa ushindi wa miaka 28 kwenye Uwanja wa Stamford Bridge.
Alli ameiwezesha Spurs kushinda kwenye Uwanja wa Stamford Bridge tangu mwaka 1990.
Delle Alli akipambana.
Christian Eriksen alifanya 1-1 dakika za mwishoni mwa mipindi cha kwanza cha dakika 45.
Akishangilia bao lake
Alvaro Morata ndie aliyeanza kutupia bao na kufanya Chelsea iongoze 1-0 kwa bao la kichwa.
Morata akikumbatiwa kupongezwa Darajani!!
No comments:
Post a Comment