BUKOBA SPORTS

Thursday, April 12, 2018

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: REAL MADRID 1-3 JUVENTUS(Agg: 4-3): PENATI YA MWISHONI YA CRISTIANO RONALDO YAIUA JUVE...KIPA BUFFON AONESHWA KADI NYEKUNDU!!

Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake la mkwaju wa penati dakika za lala salama.
Ronaldo alivua jezi yake baada ya kuifungia bao la kuivusha  Real Madrid na kufanya matokeo kuwa 4-3 kwenye (aggregate).
Ronaldo akishangilia kwa mashabiki.
Ronaldo akifunga bao kwa mkwaju wa penati dakika ya 97
Gianluigi Buffon alioneshwa kadi nyekundu kwa kosa la kumzonga mwamuzi.
Lucas Vazquez  aliangushwa kwenye 18

Blaise Matuidi alifanya 3-3
Mlinda mlango wa Real  Keylor Navas hakuona ndani
Matuidi akishangilia
Kipa Veteran wa  Juventusna Nahodha Gianluigi Buffon akishangilia bao la Matuidi
Mario Mandzukic alifanya 2-0
Mandzukic akishangilia kwenye Uwanja wa Bernabeu
Mario Mandzukic akitupia ndani ya Uwanja wa  Bernabeu
 Gonzalo Higuainakishangilia nae

No comments:

Post a Comment