BUKOBA SPORTS

Thursday, March 29, 2012

BARCELONA YALALAMIIKA UEFA KUHUSU UWANJA WA SAN SIRO!

 

Guardiola: 'Ni wazi Kiwanja kiliondoa uhondo uliostahili'

AC Milan yakiri Kiwanja kinahitaji kusukwa upya nyasi mpya!

Refa Msweden, Jonas Eriksson (katikati) ya wachezaji wa Barcelona, viungo Muargentina Javier Mascherano (kushoto) na Xavi Hernandez katika mechi ya Ligi ya Mabingwa, Robo Fainali ya kwanza jana dhidi ya AC Milan Uwanja wa San Siro mjini Milan. Mechi hiyo iliisha kwa sare 0-0 na Eriksson alilaumiwa na vyombo vya habari vya Hispania baada ya mchezo huo.



Mabingwa wa Ulaya, FC Barcelona, wamewasilisha malalamiko rasmi kwa UEFA kuhusu hali ya Uwanja wa kuchezea wa San Siro ambako jana walitoka sare 0-0 na AC Milan kwenye Mechi ya kwanza ya Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Timu hizi zitarudiana huko Nou Camp hapo Aprili 3.

Katika Mechi hiyo Wachezaji walionekana kuteleza mara kwa mara na vipande vipande vya nyasi kuonekana kumeguka kila wakati.

                                                                   Guardiola

Katika Taarifa yao leo, Barca wamesema walilifikisha suala hilo kwa Msimamizi wa UEFA Mikalai Varabyov katika Mkutano maalum baada ya Mechi na Msimamizi huyo ameweka malalamiko yao katika Ripoti yake kwa UEFA.

Mara baada ya Mechi hiyo, Meneja wa Barca, Pep Guardiola, alisema: ‘Sie, mwishoni, tuliizoea hali ile kwani huwa tunahimili kila namna….lakini ni wazi hilo likuwa tatizo kwa uhondo uliostahili.’

Nae Makamu wa Rais wa AC Milan, Adriano Galliani, amekiri Kiwanja kinahitaji kuwekewa nyasi mpya na watazungumza na wenzao Inter Milan ambao pamoja nao ndio wanautumia Uwanja wa San Siro kama Kiwanja cha nyumbani.





                        MIFUMO WALIVYOCHEZA

Milan

32
5.5
5
7.0
13
8.0
25
7.0
77
8.0
10
7.5
22
6.5
23
7.5
27
6.0
11
Zlatan Ibrahimovic
Mshambuliaji
5.0
70
Robinho
Mshambuliaji
52′
4.0

Barcelona

6.5
1
6.0
2
7.5
3
7.5
5
8.0
6
Xavi
Kiungo
5.5
8
6.5
14
6.5
15
Seydou Keita
Kiungo
61′
7.0
16
7.0
9
Alexis Sánchez
Mshambuliaji
76′
7.0
10
Lionel Messi
Mshambuliaji

Wachezaji wa akiba

1
-
15
Djamel Mesbah
Kiungo
74′
6.0
18
-
28
Urby Emanuelson
Mshambuliaji
67′
5.5
92
Stephan El Shaarawy
Mshambuliaji
52′
6.0
21
Maxi López
Mshambuliaji
-

-
26
-
4
-
11
6.0
17
Pedro
Mshambuliaji
76′
6.5
37
Tello
Mshambuliaji
65′

Kocha

-
-

No comments:

Post a Comment