SIMBA 2-0 ES SETIF KATIKA PICHA UWANJA WA TAIFA.
Mashabiki wa Yanga wao walikuwa wakiipa sapoti Es Satif ya Algeria
Mtanange ulikuwa wa kufa na kupona
Mchezaji wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Machaku akijaribu kumpita mshambuliaji wa ES Setif ya Algeria wakati wa mchezo wa kombe la Shirikisho uliochezwa leo kwenye uwanja wa Taifa. Katika mchezo huo Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Beki wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Amir Maftah, akijaribu kumpita mshambuliaji wa ES Setif ya Algeria wakati wa mchezo wa kombe la Shirikisho uliochezwa leo kwenye uwanja wa Taifa.
Mchezaji wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi, akifuta mpira kwa mlinda mlango wa timu ya ES Setif wakati timu hizo zilipopambana katika kombe la Shirikisho kwenye uwanja wa Taifa.
Mlinda mlango wa timu ya ES Setif ya Algeria akijaribu kudaka mpira uliopigwa na Mchezaji wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi.
...Kukimbizana mwanzo mwisho
...Clouds Tv nayo ilikuwa 'Live'
...mwamuzi wa mchezo akijaribu kuongea na mchezaji wa ES Satif
Mashabiki
Kikosi cha Msalaba mwekundu ( Huduma ya Kwanza)
Askari nao waliamua kuangalia mpira
...Ulinzi ulikuwa wa kutosha
Furaha baada ya kupata goli la pili
Ujumbe kwa wapenzi wote wa soka.
...Huduma ya kwanza ikitolewa
Ndelemo na vifijo vilitawala katika mechi hiyo.
Mashabiki waliitikia wito kwa nguvu
...ni rangi nyekundu tu ndiyo ilitawala uwanjani
Mlinda mlango wa Simba, Juma Kaseja akiwa akipongezwa na mwalimu wake.
Watangazaji wa Clouds Fm/Tv Ephraim Kibonde akifanya mahojiano na mlinda mlango wa Simba, Juma Kaseja mara baada ya mpira kuisha. Ambapo Clouds Tv ilikuwa ikionyesha 'live' mpira huo.
Watangazaji wa Clouds Fm/Tv Ephraim Kibonde na Shafie Dauda wakifanya mahojiano mara baaya ya mpira kuisha. Ambapo Clouds Tv ilikuwa ikionyesha 'live' mpira huo.
Wafanyakazi wa Clouds Fm/Tv wakibadilisha mawazo
Watangazaji wa Clouds Media upande wa Clouds Fm/Tv na PrimeTime Promotions wakiwa katika picha ya pamoja.

...Mlinda mlango wa Es Satif ya Algeria akimtuliza beki wake
..Emmanuel Okwi akiwa na mpira
Afisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga aitangaza kikosi cha timu ya Simba.
Wapinzani nao hawakukosa
Mashabiki wa kumwaga
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samweli Sitta,
Mbunge wa Kigoma Mashariki Zitto Kabwe akiwa na Mbunge wa Tabora na Mwenyeki wa Simba Ismail Aden Rage .
Simba ya Tanzania.
Es Setif ya Algeria.
No comments:
Post a Comment