Sulley Muntari alifunga dakika ya nane, na kuwapa mabingwa watetezi, AC Milan ushindi wa 1-0 dhidi ya Chievo Verona na kuifanya timu hiyo ifute gundu la kucheza mechi nne bila kushindasambamba na kurejea kileleni Serie A. AC Milan sasa inaizidi pointi mbili Juventus iliyo nafasi ya pili, ambayo leo inawakaribisha Lazio wanaoshika nafasi ya tatu.
No comments:
Post a Comment