BUKOBA SPORTS

Sunday, April 8, 2012

HATIMAYE BEYONCE NA JAYZ WAANIKA PICHA ZA MTOTO WAO NJE NJE


Japo watu wengi walitarajia Bayonce na Jay z wangeziuza kwa mamilioni ya dola picha za mtoto wao kama alivyofanya J.Lo lakini wawili hao wameamua kuzitoa bure picha hizo kupitia website yao.

Baba na mwana.

Baby girl Blue Ivy.

.

No comments:

Post a Comment