Rais Jakaya akimpa pole Sethi, mdogo wa marehemu Kanumba
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWAFARIJI WAFIWA NYUMBANI KWA MAREHEMU STEVEN KANUMBA 

Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwaRais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho.


Rais Kikwete akiaga waombolezaji nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho.
Rais Kikwete akiongea na wanahabari nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho.
No comments:
Post a Comment