BUKOBA SPORTS

Monday, April 30, 2012

LIGI KUU ENGLAND: CHELSEA WAENDELEZA KICHAPO, SPURS NAYO YASHINDA YACHUNGULIA MLANGO WA CHAMPIONS KWA MBALI

Return to form: Torres bagged two in the first half to make it four goals in two games for the BluesTORRES APIGA HETITRIKI!

Fernando Torres ameipigia Klabu yake Chelsea bao 3 safi walipoitwanga QPR mabao 6-1 katika Mechi ya Ligi Kuu England iliyochezwa leo Uwanja wa Stamford Bridge.
 Return to form: Torres bagged two in the first half to make it four goals in two games for the Blues
Bao nyingine za Chelsea zilifungwa na Daniel Sturridge, John Terry na Florent Malouda.
 Safe distance: There was no handshake between Ferdinand and Terry
Bao pekee la QPR lilifungwa na Djibril Cisse.
 Opener: Sturridge got the ball rolling inside a minute for the Blues and Malouda (below) scored the sixth
MATOKEO:
Jumapili Aprili 29
Chelsea 6 QPR 1
Tottenham 2 Blackburn 0

MSIMAMO TIMU ZA JUU ENGLAND (EPL)
1 Man United Mechi 35 Pointi 83 [Tofauti ya Magoli 54]
2 Man City Mechi 35 Pointi 80 [Tofauti ya Magoli 60]
3 Arsenal Mechi 36 Pointi 66 [Tofauti ya Magoli 24]
4 Tottenham Mechi 35 Pointi 62 [Tofauti ya Magoli 20]
-------------------------------------------------------------------
5 Newcastle Mechi 35 Pointi 62 [Tofauti ya Magoli 7]
6 Chelsea Mechi 35 Pointi 61 [Tofauti ya Magoli 23]
7 Everton Mechi 35 Pointi 51 [Tofauti ya Magoli 8]
8 Liverpool Mechi 35 Pointi 49 [Tofauti ya Magoli 6]


 TOTTENHAM 2 BLACKBURN 0

Tottenham wametinga nafasi ya 4 kwenye Ligi baada ya kuwafunga Blackburn Rovers bao 2-0 katika Mechi iliyochezwa leo Uwanja wa White Hart Lane.
 Dutch courage: Van der Vaart's effort was correctly judges to have crossed the line
Juhudi za Van der Vaart zimeinyanyua spurs kushinda dhidi ya Blackburn
Kipigo hiki kimewafanya Blackburn wazidi kugwaya kushuka Daraja kwani ni wa pili toka mkiani.
 Over the line: Van der Vaart's shot just crosses the line and he wheels away to celebrate (below)
Bao la kwanza la Tottenham lilifungwa na Rafael van der Vaart katika Dakika ya 22 baada ya kutokea kizaazaa langoni mwa Blackburn.
 Piling on the pressure: Spurs had a raft of opportunities to build a big lead
Katika Dakika ya 75 Kyle Walker alipiga frikiki murua kutoka Mita 25 na mpira kupinda na kutinga ndani ya kamba.
Final run-in: Kean is still battling relegation while Redknapp has Champions League aspirations
Kean bado anakazi nzito ya kujikwamua mkiani  Redknappanatafuta nafasi ya kucheza Championz ligi
All smiles: Spurs celebrate Walker's free-kick which capped a comfortable performance
wachezaji wote wa Spurs furaha tupu!!! baada ya kiki la  Walker kuweka pafomance nzuri

RATIBA MECHI ZIJAZO:
Leo Jumatatu Aprili 30
[Saa 4 Usiku]
Man City v Man United
Jumanne Mei 1
[Saa 3 Dak 45 Usiku]
Liverpool v Fulham
Stoke v Everton
Jumatano Mei 2
[Saa 3 Dak 45 Usiku]
Chelsea v Newcastle
[Saa 4 Usiku]
Bolton v Tottenham

No comments:

Post a Comment