Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England, Manchester United, leo wamemkuta kibonde wao wa siku zote, Wigan, kagangamala na kwa mara ya kwanza kuwafunga kwa bao la Shaun Maloney la Kipindi cha Pili.
Kipigo hiki cha Man United na ushindi wa leo wa Man City umefanya pengo la Man United walio vinara kuwa Pointi 5 na Man City huku Mechi zimebaki 5.
Vikosi
Wigan: Al-Habsi; Beausejour, Boyce, Alcaraz, Caldwell, Figueroa; Maloney, McArthur, McCarthy, Moses; Di Santo
Akiba: Pollitt, Crusat, Watson, Gomez, Sammon, Diame, Stam.
Man United: De Gea; Jones, Evans, Ferdinand, Evra; Valencia, Carrick, Giggs, Young; Rooney, Hernandez
Akiba: Cleverley, Welbeck, Nani, Park, Smalling, Pogba, Amos.
Refa: Phil Dowd
WOLVES 0 ARSENAL 3
Bao 3 za Arsenal zilizofungwa na Robin van Persie kwa penati, Theo Walcott na Yossi Benayoun dhidi ya Timu goigoi iliyo mkiani Wolves zimewafanya Arsenal wazidi kujichimbia kwenye nafasi ya 3 ya Ligi.
Vikosi
Wolves: Hennessey; Zubar, Stearman, Bassong, Ward; Kightly, Henry, Davis, Jarvis, Edwards, Doyle
Akiba: De Vries, Ebanks-Blake, Fletcher, Johnson, Berra, Milijas, Forde.
Arsenal: Szczesny; Sagna, Djourou, Vermaelen, Andre Santos; Arteta, Song; Walcott, Ramsey, Benayoun; Van Persie
Akiba: Fabianski, Rosicky, Park, Oxlade-Chamberlain, Squillaci, Jenkinson, Chamakh.
Refa: Neil Swarbrick (Lancashire)
MAN CITY 4 WBA 0
Man City wakiwa kwao Etihad leo wamefufua matumaini yao ya kutwaa Ubingwa kwa kuwachapa West Bromwich bao 4-0 na kuikaribia Man United wakiwa Pointi 5 nyuma huku Mechi zikiwa zimebaki 5.
Bao za City zimefungwa na Aguero, bao mbili, Tevez na Silva.
Vikosi
Man City: Hart; Richards, Kompany, Lescott, Clichy; Silva,
De Jong, Barry, Nasri; Aguero, Tevez
Akiba: Pantilimon, Zabaleta, Milner, Pizarro, Dzeko, Johnson, Kolarov.
West Brom: Foster; Jones, Dawson, Olsson, Shorey; Cox, Mulumbu, Scharner, Andrews, Dorrans; Long
Akiba: Daniels, Tchoyi, McAuley, Odemwingie, Hurst, Fortune, Roofe.
Refa: Kevin Friend
RATIBA LIGI KUU (EPL)
Jumamosi Aprili 14
[Saa 8 Dak 45 Mchana]
Norwich v Man City
[Saa 11 Jioni]
Stoke v Everton
Sunderland v Wolves
Swansea v Blackburn
West Brom v QPR
Jumapili Aprili 15
[Saa 12 Jioni]
Man United v Aston Villa
Jumatatu Aprili 16
[Saa 4 Usiku]
Arsenal v Wigan
No comments:
Post a Comment