
...Like Abraham akiwa kapigwa butwaa ya kutoamini ushindi wake.

Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo, akiwa na ‘Kina Rihanna’ kabla shindano kuanza.

Mshindi wa kwanza, mrembo Like Abraham (kulia), akipokea hundi ya Shilingi milioni 10 kutoka kwa Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo.

. …Like (katikati) akiwa na majaji wa shindano hilo Salehe Ally (kulia) na Baby Madaha (kushoto).

Pichani Mshindi huyo (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Wellu Sengo (kushoto) na mshindi wa tatu Zalha Sadallah

Mtanga akinengua na mcheza shoo wake.

Mwanamuziki H. Mbizo akitoa burudani.

Msanii wa vichekesho, Bambo akiimba wimbo wenye asili ya Ruvuma.

Washiriki wakitoa burudani.


Mchekeshaji Mtanga akitoa burudani kwa mashabiki.

Shabiki akiwasha mshumaa kumkumbuka mcheza sinema, marehemu Steven Kanumba.

Majaji wa shindano (kutoka kushoto) Salehe Ally, Baby Madaha na Eric Shigongo, wakiwa kazini.
---
LIKE ABRAHAM usiku wa kuamkia leo aliibuka kidedea katika shindano la ‘Vaa, Imba, Cheza kama Rihanna’ ambalo lilifanyika katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam na kufanikiwa kujinyakulia Shilingi milioni 10.Kabla ya shindano hilo kulikuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo Bambo, Mtanga na H. Mbizo.
No comments:
Post a Comment