BUKOBA SPORTS

Monday, April 9, 2012

MANENO OSWARD ANYAKUA NGAO YA PASAKA KWA KUMDUNDA RASHIDI MATUMLA

Bondia Maneno Osward akishangilia ushindi na washabiki wake katikati ni Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke Sedoyeka Thomas na Mratibu wa burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo

Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke Sedoyeka Thomas na Mratibu wa burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo wakimpatia ngao ya pasaka BOndia Maneno Osward baada ya kumdunda Rashidi
Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke Sedoyeka Thomas na Mratibu wa burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo wakimpatia ngao ya pasaka BOndia Maneno Osward baada ya kumdunda Rashidi
Refarii Antoni Luta akimfuta damu bondia Maneno Osward baada ya kuchanika jichoni jana wakati akipambana na bondia RAshidi Matumla
Mabondia Maneno Osward kushoto na Rashidi Matumla wakioneshana uwezo wa kutupiana masdumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es alaam jana.
Mabondia Maneno Osward kushoto na Rashidi Matumla wakioneshana uwezo wa kutupiana masdumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es alaam jana.
Bondia wakike Furaha Nganda kulia akimsukumizia masumbwi mfururuzo bondia Jamuhuri Saidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar Live Dar es salaam jana Nganda alishinda kwa point.
Bondia Furaha Nganda kushoto akimfurumushia mangumi bondia Jamuhuri SAidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar Live DAr es salaam jana Nganda alishinda kwa point.Bondia wakike Furaha Nganda kulia akimsukumizia masumbwi mfururuzo bondia Jamuhuri Saidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar Live Dar es salaam jana Nganda alishinda kwa point.Bondia wakike Furaha Nganda kulia akimsukumizia masumbwi mfururuzo bondia Jamuhuri Saidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar LIve DAr es salaam jana Nganda alishinda kwa point.
Mpambano wa wanawake ukiendelea
Baadhi ya wageni rasmi wakiangalia
Bondia Alphonce Mchumiatumbo akipambana na Abasi Ali jana.

No comments:

Post a Comment