
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Diamond akizikonga nyonyo za mashabiki wake kwa moja ya nyimbo zake usiku huu,kwenye hafla ya jioni ya washiriki wa Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini,iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
Mwanamuziki Mkongwe wa Bendi ya The Kilimanjaro a.k.a Wana Njenje,Nyota Waziri (kulia) akiimba nyimbo yake ya Gere wakati wa hafla ya jioni ya washiriki wa Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini,iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza usiku huu.
Platinum akiendelea kutumbuiza na mashabiki wake
Diamond akiwa amenyanyuliwa juu na madansa wake
Mwanamuziki Mkongwe wa Bendi ya The Kilimanjaro a.k.a Wana Njenje,Nyota Waziri.
Waziri akiendelea kufanya vitu vyake kwa mashabiki
Maulid Kitenge ndiye aliyekuwa mwongeaji mc
mashabiki wa ukweli
No comments:
Post a Comment