BUKOBA SPORTS

Saturday, April 28, 2012

SOUTHAMPTON YAIWASHA COVENTRY MABAO 4 KWA ZIRO, YAPANDA LIGI KUU ENGLAND KWA MBWEMBWE KALI BAADA YA KUTOKUWEPO KWA MIAKA 7

We are going up: Southampton have returned to the Premier League after a two year absence
Southampton imerudi tena katika ligi kuu ya Premier ya England baada ya kutokuwepo miaka saba

Southampton imepandishwa hadhi na kujiunga na ligi kuu ya Premier, baada ya leo Jumamosi kuishinda Coventry magoli 4-0.
Southampton ilikuwa katika uwanja wa nyumbani wa Mt. Mary.
Magoli yalikuwa ni kutoka kwa Billy Sharp, Jose Fonte, Jose Hooiveld na Adam Lallana.
  Looking Sharp: Southampton were set on the way when Billy Sharp pounced just after the quarter hour
Southampton inarudi tena katika ligi kuu ya Premier baada ya kutokuwepo kwa miaka saba.
 Contrasting futures: While Southampton celebrated, Coventry reflect on a desperately disappointing campaign
Coventry, ambao tayari wameshukishwa hadhi, walifungwa kwa urahisi na timu ya Southampton ikiwa nyumbani, na kutokana ushindi wake, inamaanisha West Ham, sasa wamesukumwa nyuma hadi nafasi ya tatu katika ligi hiyo ya Championship.
 High hopes: Southampton have followed Norwich in securing back-to-back promotions

Southampton wameifata Norwich in securing back-to-back promotions
Miaka saba iliyopita, Southampton iliondolewa kutoka ligi kuu ya Premier, lakini kutokana na marehemu Marcus Liebher, aliyekuwa akimiliki klabu, pamoja na mwenyekiti Nicola Cortese, waliweza kuwekeza zaidi katika timu na kuifanya thabiti.
Juhudi zao hatimaye zimeiwezesha Southampton kurudi katika ligi kuu ya Premier.
Kampeni ya Southampton hasa imenufaika sana kutokana na mabao 31 msimu huu ya mshambulizi Rickie Lambert, lakini mchango wa kiungo cha kati Rickie Lambert pia umekuwa muhimu sana.
Wachezaji Rickie Lambert na Billy Sharp wanatazamiwa kung'ara katika ligi kuu ya Premier msimu ujao.

No comments:

Post a Comment