BUKOBA SPORTS

Wednesday, April 4, 2012

SWALI KWA SIR ALEX FERGUSON KUHUSU USHINDI WA EPL 2012

 

FERGIE: TIMU YAKO IPO TAYARI KUKABILI PRESHA KUPIGANIA UBINGWA WA LIGI KUU(EPL) ?

Huku zikiwa zimebaki mechi 7 Ligi Kuu England kumalizika na kimahesabu yeyote kati ya Mabingwa watetezi Manchester United, Mahasimu wao Manchester City, Arsenal na Tottenham anaweza kutwaa Ubingwa Msimu huu, Bosi wa Manchester United Sir Alex Ferguson amesisitiza Wachezaji wake wako tayari kukabili presha ya kupigania kutwaa Ubingwa wao wa 20 katika mechi zilizobaki kwenye Ligi Kuu England wao wakiwa ndio wanaongoza Ligi wakiwa Pointi 5 mbele ya Timu ya pili Manchester City.

 


MSIMAMO:
[Kila Timu imecheza Mechi 31]
1 Man United Pointi 76
2 Man City 71
3 Arsenal 58 [Tofauti ya Magoli 21]
4 Tottenham 58 [Tofauti ya Magoli 20]
-----------------------------------
5 Chelsea 53 [Tofauti ya Magoli 17]
6 Newcastle 53 [Tofauti ya Magoli 4]
7 Everton 43
8 Liverpool 42
9 Sunderland 41
10 Fulham 39



Endapo Man United watatwaa Ubingwa Msimu huu huo utakuwa Ubingwa wao wa 5 katika Misimu 6 iliyopita.
Jumatatu usiku, Man United walishinda ugenini huko Ewood Park kwa kuifunga Blackburn Rovers bao 2-0 kwa bao za Dakika 10 za mwisho za Antonio Valencia na Ashley Young.
 Will Manchester United or Man City win the Premier League?
Mechi inayofuata kwa Man United ni Jumapili watakapokuwa kwao Old Trafford kucheza na QPR ambayo inapigania kujinusuru kuporomoka Daraja na ikiwa Man United watashinda watakuwa Pointi 8 mbele ya Man City ambao watacheza mechi yao baadae Siku hiyo hiyo ugenini Uwanja wa Emirates dhidi ya Arsenal.
Manchester United won the 2010/11 Premier League                                                           2010-2011 premier league winner
Lakini Sir Alex Ferguson, akionyesha kutojali mechi za Timu nyingine, amesema: ‘Mechi zote ni kubwa. Hatujali ikiwa ni Jumapili, Jumatano ijayo, au Jumapili nyingine, zote ni Mechi kubwa. Wachezaji wako tayari kwa yote. Tutapigana kushinda Mechi zote.
Pia Ferguson, akimsifia Antonio Valencia ambae ndie alifunga bao la kwanza dhidi ya Blackburn katika Dakika ya 80 na kumtengeneza Young aliefunga bao la pilia, mesema: ‘Wanasema ni krosi au shuti, lakini hilo hatujali. Valenca alipiga mpira ule kwa nguvu na siku zote Madifenda wanasumbuka kwa hilo. Alimalizia vizuri mno. Nadhani ndie alikuwa Mchezaji bora uwanjani!’



ISSUE ILIVYOSIMAMA KATIKA TABLE.

                                                     Home             Away
Pos
PL W D L F A W D L F A GD Pts
1 Manchester United 31 12 1 2 40 15 12 3 1 36 12 49 76
2 Manchester City 31 15 1 0 47 10 7 4 4 28 15 50 71
3 Arsenal 31 11 2 2 34 12 7 2 7 28 29 21 58
4 Tottenham Hotspur 31 11 3 2 34 15 6 4 5 22 21 20 58
5 Chelsea 31 9 3 3 31 19 6 5 5 22 17 17 53
6 Newcastle United 31 9 5 2 24 15 6 3 6 22 27 4 53
7 Everton 31 7 3 6 17 14 5 4 6 15 18 0 43
8 Liverpool 31 5 8 2 19 12 6 1 9 17 21 3 42
9 Sunderland 31 7 4 4 24 14 4 4 8 18 23 5 41
10 Fulham 31 8 4 4 31 23 2 5 8 8 19 -3 39
11 Swansea City 31 6 6 3 19 12 4 3 9 16 27 -4 39
12 Norwich City 31 6 5 4 23 19 4 4 8 19 30 -7 39
13 Stoke City 31 6 5 4 19 15 4 3 9 10 28 -14 38
14 West Bromwich Albion 31 4 2 9 15 19 6 4 6 21 24 -7 36
15 Aston Villa 30 4 4 7 17 21 3 8 4 16 21 -9 33
16 Bolton Wanderers 30 4 2 9 19 29 5 0 10 17 31 -24 29
17 Queens Park Rangers 31 4 5 7 19 25 3 2 10 16 29 -19 28
18 Blackburn Rovers 31 5 1 10 22 29 2 6 7 21 35 -21 28
19 Wigan Athletic 31 2 7 7 14 25 4 3 8 15 30 -26 28
20 Wolverhampton Wanderers 31 3 2 11 19 38 2 5 8 14 30 -35 22



MECHI ZILIZOBAKI  KWA MAN CITY NA MAN UNITED
Man City Man Utd
Jumapili Aprili 8
Arsenal v Man City
Jumatano Aprili 11
Man City v West Brom
Jumamosi Aprili 14
Norwich v Man City
Jumapili Aprili 22
Wolves v Man City
Jumatatu Aprili 30
Man City v Man Utd
Jumamosi Mei 5
Newcastle v  Man City
Jumapili Mei 13
Man City v QPR
Jumapili Aprili 8
Man United v QPR
Jumatano Aprili 11
Wigan v Man United
Jumapili Aprili 15
Man United v Aston Villa
Jumapili Aprili 22
Man United  v Everton
Jumatatu Aprili 30
Man City v Man United
Jumamosi Mei 5
Man United v Swansea
Jumapili Mei 13
Sunderland v Man United

No comments:

Post a Comment