YES DSTV TANZANIA NAO WALIZINDUA BIG BROTHER AFRICA STARGAME KWA AINA YAKE AMBAPO WALIANDAA HOTEL YA SEA CLIFF KAMA SEHEMU YA KUWASHUHUDIA WASHIRIKI WA TANZANIA AMBAO NI JULIO NA HILDA
KUFUATILIA ZAIDI DUMBUKIA HUMO. WAFUATE wafuate TWITTER waLIKE FACEBOOK NA KUIFUATILIA MASAA 24 UTAIONA KWA CHANEL 198 NDANI YA KING'AMUZI CHA DSTV


Babra Kambogi Meneja Uhusiano akituhabarisha husiana na #BBA Star Game , ambayo imekaa kstar zaidi

aliyebahatika akikabidhiwa friji yake baada ya bahati nasibu iliyochezeshwa na cocacola kuchezeshwa, cocacola ndio sponsor wakuu wa #BBA





![]() |
KILA KITU KILIKAA KSTAR STAR HATA RED CARPET LILIANDALIWA KIVIP NA KISWAGGA ZA MASTAR |




















No comments:
Post a Comment