Bao mbili za Ramires na Didier Drogba zimewapa ushindi Chelsea wa bao 2-1 jana walipoitwanga Liverpool mbele ya Watazamaji 89,102 Uwanjani Wembley Jijini London na kunyakuwa FA Cup kwenye Fainali yake ya 131.
Hadi mapumziko bao zilikuwa 1-0.
Chelsea walipata bao lao la kwanza Dakika ya 11 la Ramires na kumpenya Kipa Reina kwenye posti yake ya karibu.
Wachezaji na mashabiki wa Liverpool wote walidhani mpira ulikuwa umevuka msitari.
Didier Drogba alifunga bao la pili Dakika ya 52 a Liverpool kupata bao lao Dakika ya 65 Mfungaji akiwa ni Andy Carrol.
FA Cup 7 alizoshinda Ashley Cole:
2012: Chelsea 2-1 Liverpool
2010: Chelsea 1-0 Portsmouth
2009: Chelsea 2-1 Everton
2007: Chelsea 1-0 Man Utd
2005: Arsenal 0-0 Man Utd (Arsenal kwa penati 5-4)
2003: Arsenal 1-0Southampton
2002: Arsenal 2-0 Chelsea
No comments:
Post a Comment