MATOKEO MECHI ZA USIKU LA LIGA NA WAFUNGAJI WA MABAO
UPINZANI wa Messi na Ronaldo katika kuwania kiatu cha dhahabu usiku huu umezidi kunoga- wakati timu zao zilipokuwa zikicheza mechi za Ligi Kuu ya Hispania, La Liga.
Messi amefunga mabao yote manne katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Espanyol, wakati Ronaldo amefunga moja tu Real Madrid ikiilaza Granada 2-1. Messi sasa ana mabao 50 na Ronaldo 45 kila timu ikiwa imebakiza mechi moja kumaliza Ligi. Maajabu gani yatokee Ronaldo ampiku Messi?
Guardiola Akimkumbatia Messi na kumpongeza kwa kufikisha magoli 72 kwa msimu huu.
Bango la kumshukuru Guardiola mbele ya umati mkubwa wa mashabiki (Nou Camp) baada ya kuifunga Espanyol magoli manne (4) jana usiku.
Messi alifunga magoli manne peke yake jana dhidi ya Espanyol
Messi avunja rekodi msimu huu kwa 72
Wote kwa pamoja wachezaji wa Barcelona wakimpongeza Messi
Messi akishangilia
No comments:
Post a Comment