Wachezajiwa Azam fc walipata vyeti na nishani za utumiaji bora vipaji vyao ikiwa mchezaji mwenye nidhamu,mchezaji aliedumu katika kiwangi msimu mzima,mfungaji bora,mchezaji shupavu n.k.
Vijana kutoka India waliokuja Tanzania kujifunza soka la kibongo pia nao walipewa vyeti vya ushiriki wao katika msimu huu.
Waandishi wa habari za michezo walioandika zaidi habari za Azam fc walitunukiwa vyeti usiku wajana.
No comments:
Post a Comment