BUKOBA SPORTS

Monday, May 7, 2012

VODACOM PREMIER LEAGUE: SIMBA YAIRARUA YANGA MAGOLI 5-0 WAKABIDHIWA KOMBE KWA SHANGWE !

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC jioni ya jana wamekabidhiwa Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kwa shangwe nzito, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya kuwabwaga wapinzani wao wa jadi, Yanga mabao 5-0.
 
Ubao ulivyokuwa unasomeka muda mfupi kabla ya kuanza mechi ya Watani wa jadi Simba na Yanga.
Shabiki wa Simba akiwa na picha kubwa ya mnyama Simba.
Kikosi kilichocheza na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
Kikosi cha Simba kilichocheza na Yanga leo kwenye Uwanja wa Taifa
                     Sehemu ya umati wa wana Simba ukishuhudia mechi dhidi ya watani wao Yanga
 Ubao ulivyokuwa unasomeka baada ya Yanga kupigwa na Simba mabao 5 kwa nunge katika Ligi Kuu ya Vodacom, kwenye Uwanja wa Tgaifa, Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa Simba wakishagilia ubingwa baada ya kukabidhiwa kombe na Waziri Mteule wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenela Mkangala
 Waziri Mteule wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mkangala (kushoto), akimkabidhi kombe la ubingwa wa Tanzania Bara baada ya mechi na Yanga kumalizika leo kwenye Uwanja wa Tgaifa, Dar es Salaam.
Wachezaji wakifurahia kombe
                                                 Simba wakishangilia ubingwa kiaina
Wachezaji na viongozi wa Simba wakicheza mduara baada ya kuifunga Yanga mabao matano na kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara
 Wapenzi wa Simba wakishangilia ushindi wa mabao matano dhidi ya Yanga pamoja na ubingwa
                                                  Ni furaha kwa Simba kila mahala

No comments:

Post a Comment