Kwa matokeo hayo sasa Simba imejikatika tiketi ya kutwaa Ubingwa bila ya mpinzani, huku wakisubiri kumalizia mchezo wao wa mwisho katika msimu huu wa Ligi Kuu na Mahasimu wao wa Jadi Yanga, mchezo unaotarajia kupigwa siku ya Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini dar es Salaam.
USIKOSE KUANGALIA MECHI KALI JUMAPILI HII KATI YA SIMBA NA YANGA
Kikosi cha Simba kilichotwaa ubingwa leo kikiwa kambini Zanzibar, baada ya Mtibwa Sugar kuituliza Azam kwa kichapo cha mabao 2-1.
No comments:
Post a Comment