Tevez amkejeli Sir Ferguson
Lakini kitendo hicho cha Tevez kinasaidikwa kuwa ni jibu kwa usemi wa Ferguson aliotoa mwaka 2009 pale alipoulizwa kama kuna siku Manchester City itakuwa mbele ya timu yake Manchester United. Wakati huo mkufunzi Ferguson alijibu kwamba hilo haliwezi kufanyika wakati wa uhai wake.
Hata hivyo Tevez mwenyewe alisema baadaye kwamba haku-kusudia kumkosea heshima Sir Alex ferguson.
No comments:
Post a Comment