BUKOBA SPORTS

Friday, May 11, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWASILI JIJINI MBEYA LEO

Ndege ya Waziri Mkuu baada ya kutua jijini Mbeya.
Viongozi mbalimbali wakiwa tayari kumpokea Waziri Mkuu.
Mbunge wa Viti Maalum CCM akipozi na Mheshimiwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili jijini Mbeya leo.
Mheshimiwa Mizengo Pinda akivalishwa Skafu na mmoja ya skauti mara baada ya kuwasili jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment