BUKOBA SPORTS

Tuesday, June 26, 2012

BUNDESLIGA KUANZA AGOST 24, BORUSSIA KUKUTANA NA WERDER BREMEN

Ligi ya Ujerumani, BUNDESLIGA 1, itasherehekea Miaka 50 wakati Msimu wa Mwaka 2012/13 utakapoanza hapo Agosti 24 kwa Mechi ya nyumbani kwa Mabingwa Borussia Dortmund watakapokutana na Werder Bremen.
Vigogo wa Ujerumani, Bayern Munich, wataanza Mechi zao kwa kwenda ugenini kucheza na Klabu iliyopanda Daraja Greuther Fuerth ambao wanaingia Bundesliga kwa mara ya kwanza kabisa.
RATIBA
MECHI ZA UFUNGUZI—Agosti 24
Boussia Dortmund v Werder Bremen
Hanover 96 v Schalke 04
Borussia Moenchengladbach v 1899 Hoffenheim
VfB Stuttgart v VfL Wolfsburg
Freiburg v Mainz 05
Augsburg v Fortuna Duesseldorf
Hamburg v Nuremberg
Eintracht Frankfurt v Bayer Leverkusen
Greuther Fuerth v Bayern Munich
MSIMU KUMALIZIKA 18 Mei 2013

No comments:

Post a Comment