
Picha juu na chini ni Dogo Janja akifanya vitu vyake


Akizumngumza na Vijimambo mapema leo kiongozi wa kundi hilo Hamad Ally ‘Madii’ amesema kuwa Dogo Janja ameshindwa kuendana na makubaliano halisi yaliyokuwepo baina yake na uongozi wa kundi hilo ikiwemo kuhudhuria shuleni kama alivyokuwa akitakiwa kufanya kila siku badala yake amekuwa akiendekeza starehe na wakati mwingine kufanya mambo ambayo kwa namna moja ama nyingine yalikuwa yanalichafua kundi hilo.
No comments:
Post a Comment