BUKOBA SPORTS

Friday, June 15, 2012

EURO 2012: ITALY NA CROATIA HAKUNA MBABE ZATOANA SARE!

Kwenye Mechi ya Kundi C la Fainali za EURO 2012 Italy imetoka sare ya bao 1-1 na Croatia na wote kujiweka hai kutinga Robo Fainali.
Big noise: Mario Mandzukic hit his thrid goal of Euro 2012 to draw Croatia level
 Mario Mandzukic akishangilia baada ya kusawazisha goli
KUNDI C
NCHI
P
W
D
L
GD
PTS
CROATIA
2
0
1
0
2
4
ITALY
2
0
2
0
0
2
SPAIN
1
0
1
0
0
1
IRELAND
1
0
0
1
-2
0

Italy ndio waliotangulia kufunga kwa frikiki safi ya Pirlo katika Dakika ya 39 na Croatia kusawazisha Kipindi cha Pili kwa bao la Mandzukic la Dakika ya 72 na hili likiwa bao lake la 3 kwenye Mashindano haya.

MECHI ZA MWISHO KUNDI C:
Jumatatu, Juni 18
Saa 3 Dak 45 Usiku
Gdansk, Poland
Croatia v Spain
Poznan, Poland
Italy v Republic of Ireland

VIKOSI:
Italy (3-5-2): Buffon; Bonucci, De Rossi, Chiellini; Maggio, Marchisio, Pirlo, Thiago Motta, Giaccherni; Balotelli, Cassano.
Akiba: Sirigu, Ogbonna Obienza, Balzaretti, Abate, Barzagli, Montolivo,
Diamanti, Nocerino, Di Natale, Borini, Giovinco, De Sanctis.
Croatia (4-1-3-2): Pletikosa; Srna, Corluka, Schildenfeld, Strinic; Vukojevic; Rakitic, Modric, Perisic; Jelavic, Mandzukic.
Akiba: Kelava, Simunic, Buljat, Vrsaljko, Vida, Pranjic, Badelj, Dujmovic, Kranjcar, Kalinic, Eduardo, Subasic.
Refa: Howard Webb (England)

No comments:

Post a Comment