Mohamedi alisema shida ya usafiri itapungua kwa asilimia kubwa kutokana na meli hiyo kuwa na uwezo wa kubeba abiria 1500, Mizigo tani 500 na magari 200 ambapo abiria atakae jisikia kwenda na gari lake Zanzibar, Pemba au Dar es Salaam ataweza kufanya hivyo. Waziri Mwenye dhamana ya Mawasiliano na Miundombinu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hamadi Masoud, alithibitisha kwamba anataaarifa za ujio wa meli hiyo ambayo alisema kwa kiasi kikubwa itakuwa ni ya kutoa huduma tu na siyakutengeneza faida. Meli hiyo inauwezo wa kwenda kasi ya notkomail 20.
Meli yenyewe namna ilivyo.
Sehemu mbalimbali za meli hiyo zinavyo onekana hii ni sehemu ya kuingilia magari.
Korido maalum.
Sehemu ya kupaki magari.
Abiria wataweza kubarizi ubaridi na raha za pwani.
Inavyoonekana kwa mbele ikiwa na magari.
sehemu nyinginee.
No comments:
Post a Comment