Maria Sharapova ameshinda mashindano ya Tennis ya Ufaransa ya mwaka huu kwa kumchapa Sara Errani wa Italia 6-3,6-2 na kujiandika katika rekodi kua mwanamke wa 10 kushinda mashindano yote ya kiwango cha grand slam.Mrussi huyu alimzidia mpinzani wake kutoka Italia ambaye ameshiriki fainali ya grand slam kwa mara ya kwanza.
Wakati huu ambapo tennis ya wanawake ina pengo la mchezaji anayetazamwa kama nyota ya kuigwa, huenda Sharapova akawa jibu la kuziba pengo hilo.
No comments:
Post a Comment