BUKOBA SPORTS

Saturday, June 16, 2012

MATILDA MARTIN AIBUKA REDD’S MISS DAR CITY CENTER 2012!

Redd’s  Miss Dar City Center 2012, Matilda Martin akipunga mkono muda mfupi  baada ya kutangazwa mshindi wa taji hilo kwenye ukumbi wa  hoteli ya Golden Tulip, Jijini Dar es Salaam.

Redd’s  Miss Dar City Center 2012, Matilda Martin (katikati) akiwa na mshindi wa  pili, Magdalena Munisi (kushoto) na  Mshindi wa tatu, Witness  Michael.

Tano Bora

Mkurugenzi wa Miss Tanzania Hasheem Ludenga, akiwakaribisha wageni kabla ya mchakato huo kuanza.

Picha ya pamoja ya washiriki wote.



Meza ya majaji.

Miss Tanzania 2011, Salha Israel nae alikuwepo kushuhudia mtanange huo.

Wadau wa kamati ya Miss Tanzania.

Diamond Platnum alitoa burudani.

Wema Sepetu akifuatilia shoo ya Diamond

Diamond akiwapagawisha mashabiki wake.

Mmoja wa Majaji wa shindano hilo, Wema Sepetu akiuliza maswali kwa warembo walioingia tano bora.







No comments:

Post a Comment