
Mrembo Lisa Jensen akipunga mkono kwa wapenzi wa masuala ya urembo waliohudhuria katika shindano dogo la Redds Miss World Tanzania lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye jiji la Dar es salaam na kushirikisha warembo 10 waliowahi kushiriki mashindano hayo miaka mbalimbali iliyopita, Lisa Jensen atawakilisha Tanzania katika shindano la Miss World litakalofanyika nchini Mongolia mwishoni mwa mwaka huu.
Tano bora.
washiriki wote
Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga akijichanganya na wageni waalikwa katika shindano hilo.
Baadhi ya Majaji wa shindano hilo wakijadili jambo kutoka kulia ni Mshauri wa kamati ya Miss Tanzania Ramesh Shah, Miriam Ikoa na Prashant Patel Mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania. Chanzo:-
Warembo hao wakipita jukwaani na vazi la jioni
Mshauri wa kamati ya Miss Tanzania Ramesh Shah akitangaza warembo walioingia katika tano bora
Mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania Prashant Patel akimtangaza Lisa Jensen wa tatu kutoka kulia kama mshindi wa shindano hilo mara baada ya kuwashinda wenzake tisa alioingia nao katika shindano hilo.
No comments:
Post a Comment