TAIFA STARS VS THE MAMBAS MTANANGE ULIOPIGWA JANA JUMAPILI TAREHE 17-06-2012
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" Juni 17, 2012 ilikuwa nchini Msumbiji kipambana na timu ya taifa ya Msumbiji "The mambas" katika michuano ya mtyoano kuwania kufuzi fainali za CAF. Timu hizo zilitoka uwanjani zikiwa zimefungana magole 8-7 hivyo kuifanya taifa Stars kutolewa katika michuano hiyo. Futana na nami katika picha.
No comments:
Post a Comment