

Mchezaji wa timu ya taifa Taifa Stars Mrisho Ngasa akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Gambia The Scorpions wakati timu hizo zikichuana katika mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Brazil, mchezo huo unafanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, hivi sasa mpira umekwisha Taifa Stars ikiifunga Gambia magoli 2-1 na kujipatia pointi zake tatu za mwanzo, Magoli yamefungwa na wachezaji Shomari Kapombe Waziri Salum aliyefunga kwa njia ya penati baada ya mabeki wa timu ya Gambia kuunawa mpira katika eneo la hatari.





Kikosi cha timu ya Gambia kikiwa katika picha ya
Kikosi cha timu ya Taifa Stars kikiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment