WAZIRI wa michezo nchini Poland, Joanna Mucha ameonyesha masikitiko yake makubwa baada ya timu ya taifa ya Uingereza kuenguliwa katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Ulaya dhidi ya Italia. Mucha amesema kuwa amesikitishwa kwakuwa mashabiki wengi watarejea nchini kwao kutokana na kutolewa kwa nchi hiyo kwenye michuano hiyo. Waziri huyo kijana mwenye umbo la kuvutia aliendelea kusema kuwa kama Uingereza wangeshinda wangevutia mashabiki wengi zaidi kujitokeza katika nusu fainali dhidi ya Ujerumani ambao ungefanyika jijini Warsaw, Poland.
Tuesday, June 26, 2012
WAZIRI POLAND ASIKITISHWA UINGEREZA KUTOLEWA.
WAZIRI wa michezo nchini Poland, Joanna Mucha ameonyesha masikitiko yake makubwa baada ya timu ya taifa ya Uingereza kuenguliwa katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Ulaya dhidi ya Italia. Mucha amesema kuwa amesikitishwa kwakuwa mashabiki wengi watarejea nchini kwao kutokana na kutolewa kwa nchi hiyo kwenye michuano hiyo. Waziri huyo kijana mwenye umbo la kuvutia aliendelea kusema kuwa kama Uingereza wangeshinda wangevutia mashabiki wengi zaidi kujitokeza katika nusu fainali dhidi ya Ujerumani ambao ungefanyika jijini Warsaw, Poland.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment