Habari toka Ureno zasema msemaji wa mchezaji huyo, Pedro Aldave alikutana na raisi wa Benfica Luis Filipe Vieira kwa ajili ya maongezi kuhusu Cardozo na kukubaliana kama klabu yoyote ikifikia kiasi hicho cha paundi mill 16 basi atauzwa Cardozo.
Kocha wa Everton David Moyes anatarajiwa kumsajili mchezaji huyo mapema iwezekanavyo kwani klabu za Fenerbache, Galatasary,PSG na nyinginezo toka ligi ya Uingereza zamfuatilia pia mchezaji huyo.
No comments:
Post a Comment