safari Fleetwood Town
Barton jana alianza mazoezi na timu ya daraja la pili ya Fleetwood Town baada ya kupigwa faini na adhabu ya kutocheza mechi 12 za mwanzo za QPR.
Fleetwood.
Fleetwood Town
Barton ambaye ameachwa katika ziara ya QPR kwa ajiloi ya kujiandaa na msimu ujao, amesema amepoteza mapenzi na mpira wa miguu kutokana na yaliyotokea na labda kufanya kwake mazoezi klabuni hapo (Fleetwood) kutamfanya arudishe mapenzi yake ya mchezo huo na kumfanya awe tayari kwa ajili ya kurudi QPR ifikapo mwezi wa tano.
Fleetwood Town
Barton kupitia website yake alisema,
“Mapenzi yangu kwa mpira katika kipindi hiki cha miezi 6 kimepungua na nataka niyarudishe.
Nahisi kufanya mazoezi katika ligi daraja la chini kutanisaidia kwani katika ligi ya chini ndipo ambapo wachezaji wanakuwaga na uchu wa kucheza.
Nataka nirudishe mapenzi yangu kwa mpira wa miguu kama nlivyokuwa nayo zamani”
Fleetwood Town
Daily mail kupitia mpiratz
No comments:
Post a Comment