Dempsey
Rodgers anataka kusajili wachezaji wasiopungua wawili na mmoja wao akiwa ni Dempsey. Fulham wapo tayari kumuuza mshambuliaji huyo na pia wapo tayari kubadilishana hata wachezaji na Liverpool ili usajili huo wa Dempsey ufanyike.
Taarifa za karibu zaidi zasema usajili huo unatarajiwa kufanyika Jumatano hii.
No comments:
Post a Comment