BUKOBA SPORTS

Tuesday, July 10, 2012

AC MILAN WAJIANDAA KUMSAJILI DZEKO

Dzeko
Edin Dzeko kuna uwezekano mkubwa akawa anajiandaa kuihama Man City na kwenda kujiunga AC Milan kwa ada ya paundi mil 20.
Milan wamepeleka maombi ya kutaka kumsajili Mbosnia huyo ambaye amekuwa akipata nafasi finyu sana za kucheza katika kikosi cha Mancini.
Inasemekana Timu hizo zote mbili zimeshakutana na maongezi yanafanyika kwa ajili ya kukubaliana mkataba kuhusiana na uhamisho wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26.

No comments:

Post a Comment