BUKOBA SPORTS

Tuesday, July 10, 2012

MAN CITY WAMUUZA ADEBAYOR KWA SPURS ILI KUWEZA KUMSAJILI VAN PERSIE!

Van Persie
Tottenham wanajiandaa kutoa fedha ya paundi mil 5 ili kuweza msajili Adebayor ambaye atakuwa akipokea mshahara wa paundi 170,000 kwa wiki. Usajili huo inatarajiwa kukamilika wiki hii.
Man City wanaamini uhamaji huo wa Adebayor utaweka nafasi na uwezekano mkubwa wa kuweza kumsajili nahodha wa Arsenal Robin van Persie.
Van Persie ambaye amegoma kusaini mkataba mpya Arsenal na inasemekana anataka kwenda Man City, lakini Mancini anajua ya kuwa kamwe Van Persie hawezi kwenda City kama Adebayor atabakia klabuni hapo kwani wawili hao haziivi kabisaaa.

No comments:

Post a Comment