BUKOBA SPORTS

Tuesday, July 24, 2012

TIMU YA TAIFA YA OLIMPIKI YA TANZANIA YAWASILI KWENYE KIJIJI CHA MICHEZO HIYO, STRATFORD-LONDON

Timu ya Tanzania ya Olimpiki, imewasili kwenye kijiji cha michezo ya Olimpiki kilichopo Stratford, London, ikitokea kwenye mji wa Bradford. Timu hiyo ya Tanzania, iliweka kambi ya mazoezi katika Chuo Kikuu cha Bradford tangu ilipowasili nchini Uingereza.Balozi wa Tanzania Bw.Peter Kallage akiwa pamoja na wanamichezo wataoiwakilisha Tanzania mwaka huu pichani.
 Kwa Hisani ya blog ya jamii Michuzi

No comments:

Post a Comment