
Nayo APR ya Rwanda Imetinga nusu Fainali baada ya kuifunga URA ya Uganda bao 2-1. Hivyo basi timu ya Mafunzo na URA zimeondolewa katika michuano ya Kombe la Kagame.
Hapo kesho wekundu wa msimbazi watashuka dimbani kucheza na Azam FC katika robo fainali ya michuano ya Kagame mchezo utakao chezwa saa kumi jioni na mchezo wa kwanza utakua saa nane mchana kati ya Atletico ya Burundi na Vita club ya Kongo.
No comments:
Post a Comment