BUKOBA SPORTS

Monday, August 27, 2012

CHADEMA WAPIGWA MABOMU MOROGORO MTU MMOJA AFARIKI,TAZAMA PICHA ZA VURUGU HIZOHAPA


Wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema

Askari waliokuwa katika eneo la tukio kabla ya kuanza kwa maandamano hayo

Moshi wa mabomu yaliolipuliwa kutawanya maandamano ya chadema leo mjini morogoro


Gari la chadema lililokuwa likiongoza maandamano hayo

Mmoja wa kiongozi wa chadema akiwa amekamatwa akiwa ndani ya gari la polisi

Wafuasi wa chadema wakiwa na maandamao hayo mjini morogoro

No comments:

Post a Comment