Mtaa wa Mkunguni ni moja ya mitaa maarufu sana mjini Dar es salaam, hapo ni Mnazi Mmoja ambapo wafanyabiashara ndogo ndogo wamevamia, mamlaka husika inabidi ifanye kazi ya ziada ya kuwaandalia sehemu ya biashara kabla ya kuwafukuza.
Jiji la Dar es Salaam lazidi kubadilika siku hadi siku kutokana na kuongezeka kwa maghorofa marefu na mazuri.
No comments:
Post a Comment