Wednesday, August 22, 2012

EUROPA LIGI: LIVERPOOL KUCHEZA NA HEARTS YA SCOTLAND HAPO KESHO TAREHE 23

Liverpool kesho Alhamisi Usiku itasafiri kwenda Scotland kucheza Mechi ya kwanza ya Raundi ya Mchujo ya EUROPA LIGI dhidi ya Klabu ya Scotland Hearts na wenzao Newcastle, ambao ndio wanaanza Mashindano haya kwenye Raundi hii, watacheza ugenini na Atromitos ya Ugiriki.

Hii ni Raundi ya pili kwa Liverpool kucheza kwenye EUROPA LIGI kufuatia wao kuanza kampeni yao kwenye Raundi ya Tatu ya Mtoano ambako waliwabwaga FC Gomel ya Belarus kwa jumla ya Mabao 4-0.
Liverpool kesho Alhamisi Usiku itasafiri kwenda Scotland kucheza Mechi ya kwanza ya Raundi ya Mchujo ya EUROPA LIGI dhidi ya Klabu ya Scotland Hearts na wenzao Newcastle, ambao ndio wanaanza Mashindano haya kwenye Raundi hii, watacheza ugenini na Atromitos ya Ugiriki.

Mechi moja tu ya Raundi ya Mchujo ndio itakayochezwa leo Jumatano Usiku, Siku ambayo kwa UEFA ni Siku ya CHAMPIONZ LIGI na Alhamisi ndipo huchezwa Mechi zote za EUROPA LIGI.

RATIBA KAMILI
Jumatano Agosti 22
VfB Stuttgart v Dinamo Moscow
Alhamisi Agosti 23
Anzhi Makhachkala v AZ
APOEL FC v Neftci
Atromitos v Newcastle
Tromso v FK Partizan
Vaslui v Inter Milan
Hearts v Liverpool
Athletic Bilbao v HJK Helsinki
Maritimo v FC Dila Gori
Molde v Heerenveen
Debrecen v Club Brugge
Sheriff Tiraspol v Marseille
Trabzonspor v Videoton

FC Midtjylland v Young Boys
Slask Wroclaw v Hannover 96
Dinamo Bucurest v FC Metalist Kharkiv
AC Horsens v Sporting
Hapoel Tel-Aviv v F91 Dudelange
Feyenoord v Sparta Prague
Motherwell v Levante
Crvena Zvezda v Bordeaux
Lokeren v Plzen
Lazio v Mura
AIK v CSKA Moscow
Legia Warsaw v Rosenborg
Bursaspor v FC Twente
Steaua Bucuresti v Ekranas
Liberec v Dnipro
PAOK v Rapid Vienna
Luzern v Genk
Zeta v PSV

SOURCE:SOKAINBONGO

No comments:

Post a Comment