Wednesday, August 22, 2012

HAYA NDIO "MAJEMBE" YALIYOWAHI KUUZWA NA WENGER


Baada ya Arsenal Wenger kumuuza Mshambuliaji hatari Robin Van Persie kwa mahasimu Manchester United mimi ninajifariji na maneno haya ya Kocha wa kuheshimika zaidi Arsenal Wenger...lakini roho inaumaaaaa!!
Nafarijika zaidi na maneno ya Arsene Wenger ninapowakumbuka wachezaji mashuhuri na wakali aliowahi kuwauza na kamwe yeye hajawahi kununua Nyota katika soka..wapige chabo hapo chini.....

Thienry HenryEmmanuel Adebayor kwa sasa - Tottenham

Patrick Vieira
Ashley Cole

Samir Nasri - kwa sasa yupo Manchester City
Cesc Fabregas - kwa sasa yupo Barcelona
RobinVan Persie - kwa sasa Man united
Alex Song - kwa sasa Barcelona

No comments:

Post a Comment