Katika Mechi za Kimataifa za Kirafiki zilizochezwa Jumatano Usiku, England, Brazil na Argentina zilishinda Mechi zao lakini Vigogo Italy na Germany walichapwa.
Brazil wakicheza Uwanja wa Rasunda wa huko Sweden uliokuwa ukiagwa rasmi, waliwapiga Wenyeji wao Sweden bao 3-0 kwa bao za Leandro Damiao na Alexandre Pato bao mbili.
Nao Argentina waliwanyuka Germany bao 3-1 kwa bao za Sami Khedira, aliejifunga mwenyewe, Lionel Messi na Angel Di Maria.
Bao la Germany lilifungwa na Howedes.
Huko Berne, Uswisi, England walitanguliwa na Italy kwa bao la Daniele De Rossi lakini England wakapachika bao mbili kupitia Jagielka na Jermaine Defoe.
VIKOSI
Italy: Sirigu, Ogbonna, Abate, Balzaretti, Astori, El Shaarawi, Aquilani, De Rossi, Diamanti, Nocerino, Destro.
Akiba: Perin, De Sciglio, Peluso, Acerbi, Poli, Schelotto, Gastaldello, Gabbiadini, Verratti, Consigli.
England: Butland, Walker, Cahill, Jagielka, Baines, Carrick, Lampard, Johnson, Cleverley, Young, Carroll.
Akiba: Ruddy, Lescott, Bertrand, Caulker, Milner, Livermore, Rodwell, Defoe.
RATIBA/MATOKEO:
Jumatano, Agosti15
Mechi za Kimataifa za Kirafiki
LEO NI
Alhamisi, Agosti 16
Canada v Trinidad and Tobago [Saa 9 usiku]
Costa Rica v Peru [Saa 9 usiku]
Ecuador v Chile [Saa 9 usiku]
El Salvador v Jamaica [Saa 9 usiku]
MATOKEO YA MECHI ZA JANA
Albania 0 Moldova 0
Japan 1 Venezuela 1
South Korea 2 Zambia 1
China PR 1 Ghana 1
Puerto Rico v Spain
Russia 1 Ivory Coast 1
Armenia 1 Belarus 2
Azerbaijan 3 Bahrain 0
Croatia 2 Switzerland 4
Bulgaria 1 Cyprus 0
Luxembourg 1 Georgia 2
Norway 2 Greece 3
Sweden 0 Brazil 3
Ukraine 0 Czech Republic 0
Denmark 1 Slovakia 3
Austria 2 Turkey 0
Hungary 1 Israel 1
Montenegro 2 Latvia 0
Belgium 4 Netherlands 2
Estonia 1 Poland 0
Germany 1 Argentina 3
Macedonia 1 Lithuania 0
Northern Ireland 3 Finland 3
Serbia 0 Rep of Ireland 0
Slovenia 4 Romania 3
Wales 0 Bosnia-Hercegovina 2
England 2 Italy 1
France 0 Uruguay 0
Scotland 3 Australia 1
Iceland 1 Faroe Islands 0
Portugal v Panama [Saa 6 Usiku]
Paraguay v Guatemala [Saa 6 usiku]
Alhamisi, Agosti 16
Canada v Trinidad and Tobago [Saa 9 usiku]
Costa Rica v Peru [Saa 9 usiku]
Ecuador v Chile [Saa 9 usiku]
El Salvador v Jamaica [Saa 9 usiku]
KWA HISANI YA SOKAINBONGO.COM
No comments:
Post a Comment