rusi ambayo inanolewa na kocha wa zamani wa Uingereza Fabio Capello ilishindwa kutamba mbele ya Ivory Coast kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 huku mabingwa wa Dunia na Ulaya, Hispania wenyewe walipata ushindi mwembamba wa mabao 2-1 kwa timu dhaifu ya Puerto Rico mabao ambao yalifungwa na Santi Carzola na Cesc Fabregas. Baadhi ya michezo mingine mikubwa iliyochezwa jana Uingereza ilifanikiwa kuifunga Italia kwa mabao 2-1, Portugal waliifunga Panama mabao 2-0 wakati mabingwa wa dunia mara tano Brazil walisahau mchezo wa fainali ya olimpiki waliopoteza na kufanikiwa kuifunga Sweden mabao 3-0.
Thursday, August 16, 2012
KIRAFIKI: MESSI, RONALDO WASAIDIA TIMU ZAO ZA TAIFA KUSHINDA.
rusi ambayo inanolewa na kocha wa zamani wa Uingereza Fabio Capello ilishindwa kutamba mbele ya Ivory Coast kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 huku mabingwa wa Dunia na Ulaya, Hispania wenyewe walipata ushindi mwembamba wa mabao 2-1 kwa timu dhaifu ya Puerto Rico mabao ambao yalifungwa na Santi Carzola na Cesc Fabregas. Baadhi ya michezo mingine mikubwa iliyochezwa jana Uingereza ilifanikiwa kuifunga Italia kwa mabao 2-1, Portugal waliifunga Panama mabao 2-0 wakati mabingwa wa dunia mara tano Brazil walisahau mchezo wa fainali ya olimpiki waliopoteza na kufanikiwa kuifunga Sweden mabao 3-0.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment