BUKOBA SPORTS

Tuesday, August 14, 2012

KIRAFIKI: LIVERPOOL WAITUNGUA GOLI 3-1 BAYER LEVERKUSEN

Sami Hyypia arejea anfield
Liverpool walimalizia mechi yao ya mwisho ya kirafiki kama maandalizi ya kuanza kwa ligi mwanzoni mwa wiki hii.
Ni mechi ambayo ilimhusisha mchezaji wa zamani wa Liverpool Sami Hyypia kurudi tena hapo uwanjani Anfield lakini sasa akiwa kama kocha wa Leverkusen.


Raheem Sterling akishangilia goli lake

Raheem Sterling akishangilia goli lake
Goli la kwanza la Liverpool lilifungwa na mchezaji chipukizi Raheem Sterling ambaye ana umri wa miaka 17, huku goli la pili na la tatu yakifungwa na Lucas na Carroll.

Lucas Leiva akifunga

Lucas Leiva akishangilia goli lake
Goli la Leverkusen lilifungwa na mchezaji Gonzalo Castro katika dakika ya 75.
Lucas Leiva akipongezwa.
Andy Carroll akifunga
Liverpool wanaweza jisifu kwani matunda ya Tik Tak yanaonekana kutokana na uwezo wao wa kupiga unaongezeka.

Joe Allen ndani
Joe Allen ambaye amesajili juzi nae alikuwa uwanjani akishuhudia mechi hiyo.

No comments:

Post a Comment